Friday, May 18, 2012

Uzinduzi wa safari za ATCL kutoka Dar kwenda Mwanza na Kilimanjaro...

Mr. Paul Chizi, Acting CEO of ATCL cutting the ribbon to officially inaugurating the Boeing 737-500 trips from Dar es Salaam to Mwanza and Kilimanjaro today 18th May 2012.

Monday, May 14, 2012

Boeing 737-500 yaingia ATCL

Pichani juu, CEO wa ATCL Mr. Paul Chizi akiwa (mwenye suti nyeupe na shada la maua shingoni) akiwa na marubani na wahudumu (wageni) wa ndege hiyo Boeing 737-500 iliyoingia nchini tarehe 12 May 2012. Rubani huyu na wahudumu hawa watatumika kwa muda wakati marubani na wahudumu wa ATCL waki-undergo "conversion" kuweza kutumia ndege hii. 
Ahksante nyingi ziwaendee wote walioshiriki kufanikisha mipango ya ATCL chini ya CEO Mr. Paul Chizi. Ahksante za kipekee ziwaendee Wizara ya Uchukuzi, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, TCAA, na wadau wote.